TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 17 July 2012

NMB YATOA ZAWADI KWA MWANAFUNZI BORA MWENYE UFAHAMU KUHUSU MASUALA YA KIBENKI



Meneja wa huduma kwa wateja wa benki ya NMB tawi la Same , Anna Efrem (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Omari Silayo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa wanafunzi wa shule ya msingi Majengo iliyopo wilayani Same,kujibu maswali vizuri juu ya ufahamu wa masuala ya kibenki kuhusu mpango wa NMB  Financial Fitness uliozinduliwa na benki hiyo kwa watoto wilayani humo.PICHA NA GLADNESS MUSHI,

No comments:

Post a Comment