TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 17 July 2012

MSHINDI WA SERENGETI FIESTA MC SHUJAA WALIVYOCHUANA - TANGA



Mmoja wa wwashiriki wa mpambano huo akiselebuka na shabiki wake
Mtangazaji Antu akisherekea siku yake ya kuzaliwa wakati wa mpambano
Mtangazaji wa Clouds FM akimkabidhi keki Antu katika siku hiyo
Antu Mandoza mwaandaji wa vipindi katika radio ya Clouds FM kulia akikata keki ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa. Kushoto ni mtangazaji wa Wikendi  Chart Show, Nickson

No comments:

Post a Comment