TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Friday, 20 July 2012

Matukio ya Rais Kikwete Zanzibar Leo



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilal wakijumuika na wananchi wa Zanzibar katika swala ya Ijumaa katika msikiti wa Mwembe Shauri, Unguja.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheik na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilal wakiongea katika Ikulu ya Zanzibar leo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment