Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM. Temeke Pius Seleman '
Pukapuka' akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Uwenyekiti wa Umoja huo
Wilaya ya Temeke Athumani Nyamlani Dar es salaam leo anaeshudia
katikati ni Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Sandali Bw. Ramadhani Mgomi.
No comments:
Post a Comment