Mwaiposa, Issere wamwaga vifaa vya mnichezo Kivule Veteran
Na Mwadhishi wetu
MBUNGE wa Jimbo la Ukonga, Bi. Eugen Mwaiposa ametoa vifaa vya michezo kwa timui mpya ya Kivule Veteran sambamba na mfanyabiasha maarufu wa vifaa vya michezo nchini Abbas Issere kutoa jezi, na mipira.
Akimwakilisha mbunge wa Ukonga, mume wa mbunge huyo. Ali Mwaiposa alisemna michezo inajenga afya na kuondoa maradhi madogo madogo hiyo aliwashauri kufannya mazoezi.
Naye Issere Sports alisema atahakikisha timu ya Kivule Veteran inapata vifaa vya kutosha na kushiri ki mashindanio mbalimbali ya veteran ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na nje.
No comments:
Post a Comment