TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 10 June 2012

MDAU KAJUNASON AZINDUA KIOTA KIPYA CHA FRENDS PUB MAENEO YA KINONDONI BIAFRA BLOCK 41



Eneo la kupata moja baridi na moja moto, Nyama choma, Supu aina zote, vyakula vya kila aina, Chips na burudani ya muziki unaokurudisha enzi zile za kina naniliu. unaweza kupata kutoka eneo hili la Mdau Kajunason mzee wa Mtandao wa Kajunason Blogspot, lililopo eneo la Kinondoni Biafra Block 41.

No comments:

Post a Comment