Bondia Floyd Mayweather JR Jana Alianza Rasmi Maisha ya Siku 90 Jela Mjini Las Vegas kwa kosa la Uzalilishaji Bondia huyo ambaye ajapoteza ata pambano moja tanga aanze ngumi za kulipwa ALIWASILI JELA AKISINDIKIZWA NA NYOTA WA MZIKI WA HIPOP 50 CENT ,
50 CENT alisema Mayweather ambaye anashikilia taji la WBC katika uzito wa Welter atokuwa salama katika geleza la Clark County Detention Center mjini Nevada
Mayweather aliukumiwa kifungo Desemba mwaka jana baada ya kukutwa na kosa la kumshambulia mpenzi
wake wa
zamani Josie Hargo mwaka 2010 kifungo chake kiliperekwa mbele ili kumpa
nafasi ya kumaliza mapambano wake ma Miguel Cotto mei 5 mwaka huu baada
ya kumaliza kifungo chake Mayweather atapambana na mpinzani wake wa mda
mrefu Manny Paquaio Mayweather ameshinda mechi zake zote 43 na kati ya
hozo 26 alishonda kwa K.O
No comments:
Post a Comment