TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday, 30 May 2012

SUPER D, STAR BOY NA ADAMU WALIVYOTIKISA AGA YA MASUMBWI

 Mabondia waliokuwa wakitamba miaka 1994 kutoka kushoto ni Rajabu M hamila  Super D, Shabani Mhamila Star Boy na Marehemu Adamu Abdurahamani wakiwa wamepozi kabla ya mapambano yao
Mabondia waliokuwa wakitamba miaka 1994 kutoka kushoto ni Rajabu M hamila  Super D, Shabani Mhamila Star Boy na Marehemu Adamu Abdurahamani wakiwa wamepozi kulia na Abdul Ndago ambaye alikuwa shabiki mkubwa wa mapbondia hawo

No comments:

Post a Comment