TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Saturday, 5 May 2012

NGUMI MAWE MASUMBWI YALINDIMA ILALA

Bondia Hamisi Nassoro kushoto akioneshana uwezo wa kutupa masumbwi na Charo Issa wakati wa mashindano ya kumi bora yaliyofanyika Dar es salaam juzi Charo alishinda kwa point.Picha na www.superdboxingcoach.blogsot.com
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kulia akioneshana ufundi wa kutupa makande na  West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam jana.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makande na  West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam jana.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mdau wa Mchezo wa Masumbwi Yusufu Selemani kushoto akimkabidhi vifaa vya kufundishia Mkurugenzi wa Taasisi ya Kinyogoli Fondition. Habibu Kinyogoli kwa ajili ya kufundisha mabondia katika taasisi hiyo inayoendelea na mchakato wa kutafuta mashindano ya 10 bora yanayoendelea katika ukumbi wa pananda panandi Ilala Bungoni Dar es salaam Kinyogoli ndie kocha mkongwe wa masumbwi aliyewaibua vijana wengi wakiwemo ukoo wa kina Matumla,Josefu Marwa,Iraq Hudu,Rajabu Mhamila 'Super D',Shabani Mhamila 'Star Boy; na wengineo

Bondia Ibrahimu Class kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na bondia Iddy Mnyeke wakati wa mpambano wao wa kutafuta kumi bora iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam juzi mabondia hao walitoka droo ya point 38 kwa 38.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kulia akioneshana ufundi wa kutupa makande na  West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam jana.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mohamed Amir 'Macho' kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makande na  West Llyd 'Scopion' wa Arusha wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora kwa kila uzito iliyoandaliwa na kinyogoli Fondition Dar es salaam jana.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment