Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Watu Waishio na VVU (NACOPHA) Bw. Vitalis Makayula akitoa mada kuhusu mapungufu na faida ya sheria ya UKIMWI (HAPCA 2008) katika mafunzo ya waandishi wa habari yaliyoandaliwa na AJAAT. Takribani wana habari 30 wamehudhuria mafunzo hayo yanayofadhiliwa na UNDAP kupitia TACAIDS
No comments:
Post a Comment