Mbunge
wa jimbo la Ludewa akiwa katika usafiri wa punda baada ya
kupokelewa na kutembea zaidi ya kilometa 5 hadi mjini Ludewa leo
Baadhi ya wanafunzi wanaosomesha na mbunge Filikunjombe Ludewa waki
Vyama vya upinzani na CCM Ludewa vyaungana katika mapokezi hayo Maandamano makubwa ya kumpokea shujaa wa kupambana na vitendo vya ufisadi mbunge Deo Filikunjombe leo Mbunge
wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa katika usafiri wa
punda baada ya kupokelewa leo jimboni kwake kutokana na uamuzi
wake wa kutia sahihi katika fomu maalum bungeni ya kutokuwa na imani
na waziri mkuu Mizengo Pinda na kupelekea kuvunjwa kwa baraza la
mawaziri hivi karibuni,Chanzo:mjengwablog
No comments:
Post a Comment