Afisa
Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akitilia saini mkataba wa
kudhamini michuano ya vijana wenye umri ya miaka 17 ya Airtel Rising
Stars 2012, huku mjumbe wa kamati ya mashindano Dar es Salaam Daudi
Kanuti akishuhudia. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah (wa
pili kuilia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF Saad Kawembe.
Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.
Afisa
Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akikabidhi mkataba wa
kudhamini michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 kwa mjumbe wa
kamati ya mashindano ya Dar es Salaam Daudi Kanuti baada ya kutia saini
udhamini huo. Wengine ni Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah (wa pili
kuilia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano TFF Saad Kawembe. Hafla
hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 21 kwenye ofisi za TFF.
No comments:
Post a Comment