Baadhi ya askari polisi wilayani Geita,wakijaribu kuzima gari la mgodi wa
dhahabu wa Geita(GGM) lenye namba T.577 AQZ(LV 256) ambalo liliteketezwa kwa moto na
wachimbaji wadogo wa dhahabu walio fukuzwa mgodini hapo jana baada ya kuvamia kwa
lengo la kuiba mawe ya dhahabu (Picha na Faida
Muyomba)
No comments:
Post a Comment