KWA MAITAJI YA DVD MBALIMBALI ZA MPENDWA WETU kanumba thegrea WASILIANA NASI KWA SIMU 0714855858,+255 784 470354,+255 762 419704
AU
FIKA MWENYEWE MTAA WA MSIMBAZI NA MASASI DAR ES SALAAM KARIBU KABISA NA
KANISA LA KKKT AU ULIZA OFISI ZA D'J MARKETING AND PROMOTION UPATE DVD
TOFAUTI TOFAUTI ZA MPENDWA WETU
TOKA KAMPUNI YA STEPS

STEVIN KANUMBA YUPO NJIANI KUTOKA NA NDOA YANGU

OMARI MKALI NA STARA TOMAS NAWO KUTOA DVD YAO

MARIDADI



KATIKA
kuakikisha anafanya vizuri kwenye soko la filam nchini msanii Nice
MOhamed'Mtunisi' yuko mbioni kutoka na filamu mpya itwayo Clinic Love
ambapo ni mara yake ya kwanza kucheza filamu hiyo ya kimapenzikatika filamu hiyo inaonekana mapenzi kuchukua chati zai uku ukiacha taaluma kando hususani masomo na maswala mengine mengi waswahili wanasema 'ulimbukeni wa mapenzi' hili ndilo litakalodhiilishwa katika filamu hiyo moja kwa moja
washiliki wa kuu katika filamu hiyo ni Nice, Mohamedi, Rose Ndauka, Jackline Wolper na wengine wengi filamu hiyo itakayosambazwa na kampuni ya Steps Entetiment itakuwa madukani mwezi ujao
MSANII
Vicent KIgosi 'Ray' ameibuka kivingine katika filamu mpya ya The Shell
filamu hiyo ya kutisha alioshilikisha wasanii nguli wa tansinia hiyo ipo
mbioni kukamilika ambapo itakua ikisambazwa na Kampuni ya Steps
Entantainement ya jijini Dar es salaamAkizungumzia filam hiyo Ray amesema filamu hiyo itakayokuwa ya kutisha itamweka tofauti kabisa katika filamu zingine zilizozoeleka


:

2.jpg)






No comments:
Post a Comment