MWENDA BLOG
TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION
To view this animated banner you need to have Flash Player 9 or newer installed and JavaScript enabled. BannerSnack is a
free banner maker
that you can use for your banner design work.
TANGAZO SHIWATA
To view this animated banner you need to have Flash Player 9 or newer installed and JavaScript enabled. BannerSnack is a
MySpace banner maker
that allows you to create animated flash banners for your profile.
Tuesday, 17 April 2012
MABONDIA WA KAMBI YA ILALA WAJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO MAY 4
Mabondia wa Kambi ya Ngumi Ilala wakijifua kwa ajili ya mashindano ya kumi bora yatakayofanyika Mei 4 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Dar es salaam
Mabondia wa Kambi ya Ilala wakifanya Mazoezi ya kuruka kichura chura kutafuta stamina na nguvu.mazoezi hayo yaliyokua yakitolewa na Kocha wa Kimataifa wa Mchazo wa Ngumi,. Rajabu Mhamila 'Super D' kwa ajili ya kujiaandaa na mashindano ya kumi bora yatakayofanyika Mei 4 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Dar es salaam.Picha na
www.superdboxingcoac.blogspot.
com
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment