TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 1 April 2012

King Kikii arejea kutoka Marekani

Mwanamuziki nguli nchini Mwanzo Mpango (King Kikii) akizungumza katika mkutano wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Dar es Salaam juzi baada ya kurejea kutoka MArekani ambako alikwenda kutafuta wasanii watakaokuja kusaidia kutunisha mfuko wa ujenzi wa nyumba za wasanii Mkuranga (Picha na Peter Mwenda)

No comments:

Post a Comment