TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 4 March 2012

YANGA SI RIZKI MISRI, YATANDIKWA 1-0 NA ZAMALEK Timu ya Yanga kutoka Tanzania imepata kichapo cha goli moja kwa bila na timu ya Zamalek ya Misri leo , katika mchezo uliofanyika nchini humo jioni ya leo ikiwa ni michuano ya Klabu Bingwa Afrika, wiki mbili zilizopita hapa jijini Dar es salaam Zamalek iliilazimisha Yanga kwa kufungana goli 1-1 kwenye uwanja wa |Taifa kwa matokeo ya leo ina maana Zamalek imeifunga Yanga magoli 3-1 na kuitupa nje ya mashindano h

YANGA SI RIZKI MISRI, YATANDIKWA 1-0 NA ZAMALEK

Timu ya Yanga kutoka Tanzania imepata kichapo cha goli moja kwa bila na timu ya Zamalek ya Misri leo , katika mchezo uliofanyika nchini humo jioni ya leo ikiwa ni michuano ya Klabu Bingwa Afrika, wiki mbili zilizopita hapa jijini Dar es salaam Zamalek iliilazimisha Yanga kwa kufungana goli 1-1 kwenye uwanja wa |Taifa kwa matokeo ya leo ina maana Zamalek imeifunga Yanga magoli 3-1 na kuitupa nje ya mashindano hayo

No comments:

Post a Comment