TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Monday, 26 March 2012

MCHEZO WA MASUMBWI WANOGESHA BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI LEO


 Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi, Rajabu Mhamila Super D kushoto akimwelekeza jinsi ya kutupa masumbwi mwandishi wa Chanal Ten Meshaki Nzowa

 Warembo warioshiriki katika michezo mbalimbali leo kutoka kushoto Mwali Ibrahimu, Ceciria Jeremia na Aneti Kagenda
 Super D Boxing Coach akiwa katika Bonanza hilo leo

 Super D boxing Coach akiselebuka na mwana dada Hadija Khalili






No comments:

Post a Comment