TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Thursday, 16 February 2012

Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Tanzania, Rose Sayore akitoa salamu za pongezi kwa wasanii wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) kupewa eneo la ekari 150 kwa ajili ya kujenga nyumba za kuishi na kilimo katika kijiji cha Mwanzega Kimbili, Mkuranga.

No comments:

Post a Comment