Zitto Kabwe, Amos Makala waula Simba SC
ZITTO
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na Mbunge wa Mvomero Amos Makala ni miongoni mwa wajumbe wapya wa klabu ya Simba ambao walioteuliwa katika Kamati ya Utendaji ya Klabu hiyo.
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage, alisema jana kuwa kikao cha kamati ya utendaji kilichofanyika Jumamosi ya Oktoba 15 imefanya mabadiliko katika kamati mbalimbali.
Alisema katika kamati hizo imewateua katika nafasi mbalimbali wanachama wa klabu hiyo ambao wapo kwenye kundi maarufu la Marafiki wa Simba (Friends of Simba) ambapo walikaa pamoja na kuondoa tofauti zao zilizokuwa zimejitokeza ili kuleta mafanikio katika klabu yao.
KAMATI YA FEDHA:
Mwenyekiti: Geofrey Nyange 'Kaburu', Makamu Mwenyekiti ni Adam Mgoyi, huku wajumbe wakiwa Said Pamba, Juma Abbas Pinto na Zitto Kabwe.
KAMATI YA MASHINDANO:
Mwenyekiti: Joseph Itang'are, Azim Dewji ni Makamu Mwenyekiti,Wajumbe ni Jarry Ambe, Swedy Nkwabi, Hassan Hasanoo, Mohamed Nassor, Richard Ndasa na Suleiman Zakazaka.
KAMATI YA UFUNDI:
Mwenyekiti:Ibrahim Masoud, Makamu Mwenyekitini Evance Aveva, Wajumbe Danny Manembe, Khalid Abeid, Musley Luwey, Mulamu Nghambi, Said Tuli, Rodney Chiduo, Patrick Rweyemamu.
KAMATI YA USAJILI:
Mwenyekiti:Zakaria Hans Poppe, Makamu wake ni Kassim Dewji, Wajumbe ni Francis Waya, Crecensies Magori, Salim Abdallah, Collins Fransch na Gerald Lukumay.
KAMATI YA NIDHAMU: ipo chini ya Peter Swai, Jamal Rwambo, Charles Kenyela, Evody Mmada na Chaurembo.
Rage alisema kamati hizo zimeanza kazi zake mara moja kwa kuwa kila mjumbe tayari ameshakabidhiwa barua yake.
MAKALLA

Hisani ya Mama Pipiro Blog
No comments:
Post a Comment