Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC)yakataa mahesabu ya Kituo cha Uwekezaji (TIC)
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) Bw. Murtaza Mangungu ambaye pia ni Mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM) akieleza jinsi TIC ilivyotumia zaidi ya sh. mil. 800 hivyo kamati hizo kuzikataa hesabu hizo.
No comments:
Post a Comment