TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday, 7 August 2011

MAMA SALMA ATEMBELEWA NA MKE WA RAIS WA BURUNDI

Mama Salma Kikwete akimkabidhi vipeperushi mke wa rais wa Burundi, Dkt. Denise Nkurunzinza alipotembelea nchini kuwashukuru watanzania kuwahifadhi wakimbizi wa Burundi wakati wa mashafuko ya kisiasa.

No comments:

Post a Comment