Baada ya reli ya kati kususua katika safari zake watu wamesahau kuwa ni eneo la hatari na wakikaa katika juu ya mataruma ya reli hiyo kugeuza kuwa kijiwe vya kubadilishana mawazo kama vijana hawa waliokutwa katika eneo la Ilala kwenye reli iendayo Mwanza na Kigoma jana (Picha na Peter Mwenda)
No comments:
Post a Comment