TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Tuesday, 19 July 2011

Mapokezi ya Askofu Nzigilwa Kitunda


Waumini wa  Kanisa Katoliki Parokia ya Kitunda wakiwa wamejipanga wakimpokea kwa shangwe Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Nzigilwa aliyefika kuwapa kipaimara watoto 145 wa Kanisa hilo.

No comments:

Post a Comment