TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Wednesday 22 September 2010

Ushabiki wa kisiasa kama huu wa NCCR-Mageuzi na CCM unaashiria ugomvi

Baada ya CCM kupata habari NCCR Mageuzi na mgopmbea wao wa Jimbo la Kawe, Bw. James Mbatia wanafanya mkutano katika kijiji cha Mabwepande, ilifanya kila jitihada za kukusanya mashabiki wake na kuwafuata huko huko kama inavyoonekana pichani (Picha na Peter Mwenda) Bunju B.

1 comment:

  1. Nakaribisha maoni,mawazo na nini nifanye ili website hii iwe up to date for 24 hrs ikiwa na habari motomoto na picha zilizokwenda shule ambazo nina uwezo wa kupiga kutumia kamera ya aina yoyote duniani.

    ReplyDelete