TANGAZO ISERESPORTS COLLECTION

TANGAZO SHIWATA

Sunday 25 September 2011


Mombea Ubunge Jimbo la Igunga kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Leopold Mahona akiomba kura kwa vijana waliovalia fulana na kofia za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mji wa Nkinga wilayani Igunga. Uchaguzi mdogo wa ubunge jimboni humo unatarajiwa kufanyika Oktoba 2, Mwaka huu.

No comments:

Post a Comment